**HOMA YA MATUMBO* (Fowl Typhoid)



Husababishwa na bakteria wa Salmonella.
*Tahadhari*
- Epuka Vyakula visivyo Hifadhiwa vizuri, Mavumbi/Mauozo ya Dagaa.
- Epuka *Uncooked Sea Food*, maana Ni Carriers wa Salmonella.
- Mazingira machafu na *Bio Security* hafifu huchangia kusambaa kwa ugonjwa mfano utunzaji mbovu na mapanya.
*DALILI*
- Kuku hupata homa kali
- Kuku huarisha kinyesi cheupe/chokaa
- Vifo huwa vingi hasa kwa vifaranga wenye wiki 1-2 na Hugandiwa na kinyesi sehemu ya haja.
- Vifaranga huweza kupata maambukiz tokea kwenye yài lilitagwa na Kuku Mgonjwa.
- Kuku wanaotaga hupunguza utagaji,hutaga mayai yenye ganda laini na hupata vifo vya ghafla
*TIBA*
Tumia *Stomach Herbs* kutibu na kukinga Kuku/ndege wako dhidi ya Ugonjwa huu.
Wengine hutumia Esb3, Trisulmycine, Agracox, Anti Cox, Trisul n.k.
Kwa Bidhaa za Mitishamba na Viungo *(Herbs)* kwa ajili ya Tiba na Kinga za magonjwa ya Kuku na Ndege wafugwao karibuni.
Kuna :-
1. *Mafua Herbs*
2. *Stomach Herbs*
3. *Coccidiosis Herbs*
4. *Multi booster Herbs*
5. *Ndui Oil*
*Free Delivery* Kuanzia Piece Mbili kwa Wakaz wa DSM.
Bei Ni *Tsh Elfu 10* kwa Ujazo wa *500gms (Nusu Kilo)*
*Tunazingatia Afya ya Kuku/Ndege wafugwao na Usalama kwa Mlaji*
Bidhaa zetu Ni Asili, Hazina madhara, zisizo na Kemikali.
Tupo Tandika Magorofan.
Kuku Care Tz
*0784 645 900 au 0788 654 574*


No comments:

Powered by Blogger.