Jinsi coccidiosis inavyozunguka bandani na namna inavyomuhathiri kuku.
1. Kuku mwenye maambukizi hutoa mayai ya vimelea ( protozoa ).
2 . Mayai hupatikana kwenye vyombo vya chakula, maji na sakafuni. Pia , mayai huwa na Ganda la gumu la nje Kama Kinga dhidi ya Hali mbaya au maadui.
NB. Kama mazingira yakiwa si fanikishi huweza kukaa kwa muda wa mwaka mzima bandani.
3. Kuku huathirika kupitia kula mayai kwa njia ya chakula au maji yenye maambukizi .
4. Mayai yakifika kwenye utumbo , acidi ya tumbo inavunja Ganda gumu la nje na mdudu kuanguliwa.
5. Baada ya kuanguliwa , vimelea hujishikisha kwenye kuta za tumbo na kusababisha michubuko .
6. Michubuko hii ndio inayofanya kuku kutoa kinyesi Cha damu.pia, Ni chanzo Cha maambukizi nyemelezi ya bakteria.
NB. Kitu kikubwa kinachochochea ugonjwa huu ni uwepo wa unyevunyevu bandani pamoja na usafi hafifu.
NB katika kutibu , usisahau tiba dhidi ya magonjwa nyemelezi na vidonda tumboni.
Kwetu tunatumia Coccidiosis Herbs kutibu na kukinga dhidi ya Ugonjwa huu.
Wengine hutumia Esb3, Agracox, Anti Cox, Trisul n.k.
Kwa Bidhaa za Mitishamba na Viungo (Herbs) kwa ajili ya Tiba na Kinga za magonjwa ya Kuku na Ndege wafugwao karibuni.
Kuna :-
1. Mafua Herbs
2. Stomach Herbs Ultra
3. Multi booster Herbs
4. Ndui Oil
Free Delivery Kuanzia Piece Mbili kwa Wakaz wa DSM.
Bei Ni Tsh Elfu 10 kwa Ujazo wa 500gms.
Tupo Tandika Magorofan.
Kuku Care Tz
0784 645 900 au 0788 654 574
No comments: